Taarifa tulizozipata hivi punde ni zinaarifu kwamba Mchekeshaji
aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki
dunia leo usiku huko nyumbani kwako Mbeya. Tumeelezwa kuwa msanii huyo
wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki
baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Tutawaletea taarifa rasmi hivi punde... Hizi Hapa ni baadhi ya picha zake...baada ya picha nimekuwekea Video 5 za Kinyambe enzi za uhai wake akifanya vituko vyake
0 MAONI YAKO:
Post a Comment