Mtandao
wa Twitter unatarajia kuacha kuhesabu picha na link katika ujumbe wa
maneno 140 unao andikwa na mtumiaji wa mtandao huo ili kutoa nafasi kwa
ujumbe unaoandikwa kuweza kutosha.
Taariga kutoka katika mtandao wa Bloomberg zinasema kuwa mabadiliko hayo yanaweza kuanza kuonekana ndani ya wiki mbili zijazo.
Taarifa kamili kutoka kwenye kampuni hiyo bado hazijatoka ila taarifa
hii imefurahiwa sana na watumiaji kwani watapata nafasi ya kujieleza
zaidi.Kwa sasa picha
Viunganishi huchukua takriban herufi 23 katika ujumbe hata baada ya kufupishwa na mtandao huo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment