Hii ilikuwa May 13 2016 baada ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 . Hotuba iliyosomwa na Waziri Nape Nnauye ambapo kiwango kilichoombwa ilikuwa ni Sh. 20,326,176,000.
Wabunge mbalimbali walipata time ya kuchangia bajeti hiyo huku kila mmoja akilenga upande aliouona yeye, hapa nimekusogezea video ya Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe yeye alikuwa na haya.
TAWA YAKABIDHI BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI MCHENGERWA, RUFIJI
-
Na Beatus Maganja, Rufiji, Pwani.
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi rasmi bweni
jipya la wasichana katika Shule ya Sekondari...
4 hours ago






0 MAONI YAKO:
Post a Comment