June 07, 2016

mariah-carey-nick-cannon-02
Abdul Kiba amesema yupo tayari kujiunga na lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond kama hela itawekwa mezani.
Bifu la Alikiba na Diamond linaonekana kuathiri mpaka mfumo wa watu wa pembeni wanaowazunguka wasanii hao japo kila mmoja anakubali kuwa hana tatizo na mwenzake huku ukweli wa kila mmoja ukibaki moyoni mwake.
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Abdu Kiba alisema kuwa kama watakuwa na pesa za kutosha na makubaliano mazuri anaweza kufanya kazi chini la Label hiyo [WCB].
“Nipo tayari naangalia pesa, kama pesa zitakuwepo na wakihitaji kufanya kazi na mimi naweza nikafanya kazi chini ya lebo hiyo,” aliongeza.
Siku chache zilizopita Abdu Kiba ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Bayoyo’.

Related Posts:

  • Tazma jinsi Waziri wa Kikwete alivyotishiwa Risasi    Aliyekuwa waziri katika serikali ya awamu ya nne iliytoongozwa na Jakaya Mrisho Kikwete, ndugu Adam Malima leo hii ametishiwa bunduki na jeshi la polisi nchini mpaka kufikia hatua ya askari kufyatua risasi ha… Read More
  • TETESI: Zacharia Hans Poppe ajiuzuru Simba Tetesi zilizoenea ni kwamba Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Simba, Zacharia Hans Poppe ameachia ngazi. Tetesi hizo zimeeleza kuwa Hans Poppe ameandika barua ya kuachia ngazi akiona mambo yanaendeshwa ndivyo si… Read More
  • Mwandishi wa habari auwawa    Muandishi wa habari aliyekuwa akiandika na kuripoti habari za uchunguzi zinazohusu madawa ya kulevya na ulanguzi nchini Mexico ameuwawa. Javier Valdez, aliyewahi kushinda tuzo mbali mbali za uandishi wa hab… Read More
  • Simba wamliza Moo Dewji, kisa Mkataba na Sport Pesa Mdau wa muda mrefu wa timu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji maarufu kwa jina la Moe, amesikitishwa na Club hiyo ya Msimbazi kwa kitendo cha kusaini mikataba na kampuni ya SportPesa bila kumshirikisha. Moe kupitia Instagram… Read More
  • Jeef B - Kwetu Cover by Rayvanny   Mwanamuziki chipukizi Jeef B, Amefanya Cover ya wimbo wa kweti wa mwanamuziki tpoka WCB Rayvanny  Boy, ila kwa upande wa Jeef B, ameimbia serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Iohn Pombe Magufuli … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE