June 18, 2016


 Dayna Nyange amedai kuwa haoni sababu ya kuachia wimbo mwingine wakati wimbo wake ‘Angejua’ bado unafanya vizuri japo una miezi sita tangu alipouachia.

Akiongea na Bongo5, Dayna amesema haoni sababu ya kuachia wimbo mwingine wakati bado ‘Angejua’ unaendelea kufanya vizuri.
“Ukiangalia ni kweli ‘Angejua’ nimeachia nina miezi sita sasa hivi, lakini ni wimbo ambao umekuwa unapanda taratibu mpaka sasa hivi ndiyo umekuwa kwenye peak nzuri, upo kwenye chati za media tofauti tofauti,” alisema Dayna.
“Kwahiyo siwezi kuangalia tu kwa sababu muda fulani niliachia basi muda fulani nitaachia hata kama bado kuna nafasi, bado naendelea kufuatilia kazi zangu pale itakapoonekana nina uhitaji wa kuachia kazi nyingine nitaachia lakini kazi zipo nyingi, tayari nina kazi za kutosha,” aliongeza.

Related Posts:

  • MAMA YAKE ZITTO KUZIKWA KIGOMA KESHO    Mzee Stephen Wassira akimpa Zitto pole na faraja katika msikiti wa Maamur.Picha kwa hisani ya Khalfan Said. Maiti ya Bi Shida Salum, mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Zitto Kabwe, imesaf… Read More
  • RAY C ALITAMANI PENZI LA KIKONGWE MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema kwa sasa hana mpango wa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu, na kama ikitokea basi atamtaka kuwa na miaka kuanzia 60. Akizungumza kat… Read More
  • ALICHOKIANDIKA WAKILI ABERT MSANDO KUHUSU MSIBA WA ZITTO KABWE   Msando Alberto 7 hrs · Sandown, South Africa · To my brother and friend Zitto Kabwe, I cannot imagine the pain you are going through. All I can say is pole sana for Mama's loss. I pray so that Allah give… Read More
  • MAJAMBAZI YAUA ARUSHA Mwananchi mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi eneo na Clock Tower jijini Arusha. Majambazi hao walikuwa wakipora kwenye Bureau De Change iitwayo Nothern ambapo mareh… Read More
  • Mtoto wa Pele afungwa jela miaka 33 Brazil 23 seconds ago Gwiji wa soka Pele akionekana mwenye huzuni. Akiwa na umri wa miaka 43, mchezaji mpira mstaafu, atatumikia kifungo kwa kosa la kujipatia p… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE