Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif amtaka prof Lipumba atafute uwenyekiti chama kingine . "Cuf hana nafasi ya uongozi labda abakie kuwa mwanachama wa kawaida tu ndani ya Cuf", maalim Seif amesema hayo wakati akimjibu mwaandishi wa bahari wa kitanzania alieko Marekani alietaka kujua msimamo wake kuhusu kurejea kwa prof Lipumba cuf,Maalim seif anaendelea na ziara yake nchini marekani akiwa na Ismail Jussa taarifa hizi kwa hisani ya Jussa toka USA
PROF. KABUDI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA VYOMBO VYA UTANGAZAJI TANZANIA...
AKERWA NA WANAO 'BANANGA' KISWAHILI
-
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi
akitoa hotuba wakati akifungua Mkutano wa Mwaka wa Vyombo vya Utangazaji
Tanzania ...
1 hour ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment