March 22, 2016 meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale alimpeleka msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz Sober House iliyopo Bagamoyo iitwayo Life and Hope Rehabilitation Centre kwaajili ya kupata matibabu ya kuacha kutumia madawa kulevywa na kurudi kwenye hali yake ya mwanzo.
Headline za kutoroka kwa msanii huyo kwenye nyumba hiyo ya kuhudumia
waathirika wa dawa za kulevya zilianza baada ya watu kumuona msanii huyo
akiwa mtaani June 5 2016 Mkuu wa Kituu hicho cha Sober House ameelezea
ukweli wa msanii Chid Benz kwenye kituo hicho
ukweli ni kwamba chid benzi hakutoloka kituoni alitoka kwa kufuata taratibu zote na baraka za uongozi baada ya kuoekana yupo sawa kwa mant’iki hiyo naomba vyombo vya habari mpuuze taarifa za kuwa alitoroka kituoni’>>>Al-Kareem Bhanji .
Kuhusu Babu tale kumtelekeza Chid Benz kituoni taarifa hizo siza kweli kwani babutale ndio aliyemfuata chid kituoni siku ameruhusiwa na alikuwa anatoa ushurikiano wakati wowote pale atakama ni usiku manane.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment