June 28, 2016

 Michelle Obama afanya ziara barani Afrika
Mke wa rais wa Marekani Michelle Obama akiambatana na watoto wake wa wali wa kike Malia na Sasha pamoja na mama yake Marian Robinson wanaendelea na ziara yao barani Afrika.
Baada ya kuwasili katika uanja wa ndege wa Marrakech nchini Morocco na kufanya ziara ya kushtukiza mjini Praia nchini katika kisiwa cha Cap Verd na sasa aendelea na ziara yake nchini Liberia.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa zinafahamisha ya kwamba nia na mudhumuni ya ziara hiyo ya Michelle Obama ni kwa niaba ya kampeni ya kuhimiza elimu kwa kwa watoto wa kike (Let girls learn). 
Ifahamike ya kuwa mradi huo wa elimu kwa ajili ya watoto wa kike unadhaminiwa na mashirika ya  USAID, Peace Corps na Millennium Challenge Corporation.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE