June 05, 2016

  
Miss Moro 2016 El-Neema Changula.



 Miss Moro aliyemaliza muda wake Lucy Julius Diyu akimpongeza El- Neema baada ya kufanikiwa kutwaa taji hilo na kumrithi
 ...Akimvisha taji la Miss Moro
 ....Akimvisha Craun.
 El-Neema akiwapungia mashabiki baada ya kutajwa kuwa mshindi.
 El-Neema[Kati] akiwa na mshinmdi wa PiliFatuma Salum[kulia] na Mshindi wa tatu Abela Joahn
Mwanafunzi wa Chuo Cha ST.Joseph cha Mkoani hapa El- Neema Changula [20] usiku wa kuamkia jana amefanikiwa kutwaa taji la Miss Morogoro 2016 baada ya majaji watano kumpa maksi za juu na wakufanikiwa kuwambwaga washiriki wenzake 11 waliokuwa wakiwania taji hilo.


Picha na Dustan Shekidele

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE