June 17, 2016


00301047-b58ba41202d313a9834230ea50e40135-arc614x376-w1200

Video ambayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii usiku wa kuamkia leo ni hii inayo muonyesha mwanamuziki wa zamani wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila maarufu Ray C, akitupiliwa kwenye gari la polisi huku yeye akipaza sauti kuomba msaada kwamadai kuwa anabakwa.
Inadaiwa kuwa Ray C alichukuliwa na Polisi baada ya kutaka kujiua kwa kujichoma kisu. Itazame video hapa


                       

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE