June 15, 2016

 

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu Zitto Zuberi Kabwa atashtakiwa na kufikishwa Mahakamani kwa kosa la uchochezi. Akizungumza jijini Dar Es Salaam Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi wanaendelea na upelezi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani

                           

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE