July 03, 2016

 


Naibu balozi wa Sierra leone nchini Nigeria ametekwa nyara.
Maafisa wa Sierra Leone's wanasema Nelson Williams alitekwa nyara akiwa katika jimbo la Kaduna.
Hata hivyo maafisa wa Nigeria wanasema haijbainika wazi mahali ambapo utekaji huo ulifanyika.
Haijulikani ni akina nani waliomteka nyara balozi huyo, japo wametaka kulipwa kikombozi.

Related Posts:

  • Maalim Seif Asema Polisi Imegeuka tawi la CCM Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad jana aliwasili Zanzibar kutoka ughaibuni na kulilaumu Jeshi la Polisi nchini akisema, “hapana shaka yoyote sasa limegeuka tawi la CCM.” Maalim Seif alisema hayo… Read More
  • New Official Video: Sizonje - Mrisho Mpoto ft Banana Zoro    Hatimaye baada ya Audio yake kufanya vizuri kila kona, na baadaye msanii Stan Bakoro kuutolea Video, leo mjomba Mrisho Mpoto ameuachia rasmi Video ya wimbo wake wa Sizonje. Tazama hapa    … Read More
  • New Audio: Tekno -Where Baada ya kufanya poa sana na nyimbo zake kama Duro, Wash, Mari hatiamye mwanamuziki toka nchini Niogeria Teknomize maarufu TEKNO ametuletea wimbo wake mpya kabisa unaitwa WHERE chini ya producer wake Selebobo Down… Read More
  • Mama Tibaijuka ang'ang'aniwa koo Hatima ya kesi ya Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka kupinga kuilipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zaidi ya Sh500 milioni kutoka katika mgawo wa Sh1.62 bilioni zinazohusishwa na fedha zilizochotwa Ak… Read More
  • VPL:Yanga yalazimishwa sare na Azam Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), imeendelea leo kwa michezo kadhaa huku mchezo ulikuwa ukitazamwa na mashabiki wengi wa soka ni kati ya … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE