Baada ya kufanya poa sana na wimbo wake wa Bado aliomshirikisha Diamond Platnum, hatimaye msanii toka WCB Harmonize ametuletea video ya wimbo wake mpya unaitwa Matatizo.
Hichi Hapa Ndio Chanzo cha Tetemeko Bukoba
Serikali imepeleka wataalamu wa Jiolojia katika eneo lililokumbwa na
tetemeko Bukoba ili wakafanye utafiti wa kina kuhusu tetemeko hilo.
Imesema tetemeko limetokana na misuguano ya mapande makubwa ya ardh…Read More
Brand New Audio song kutoka kwa Sharpa Tiz
Pure Records za mjini Morogoro chini ya Producer Dizzy Mchizi, wanakuletea hii audio mpya ya kwake Sharpa Tiz akimshirikisha Brown Punch wote kutoka Morogoro
…Read More
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya 12 Septemba
Karibu mpenzi msomaji katika kurasa za magazetini leo hii. Ikiwa leo ni Jumatatu ya 12 September 2016, waislamu wote duniani wanasherehekea sikukuu ya Eid el Haji. Tuungane pamoja katika kusherehekea siku hii tukufu kwa a…Read More
Basi la JM Luxury Lapata Ajali na Kuua Watu Wanne
WATU wanne wamekufa huku sita
wakijeruhiwa katika ajali ya basi, lililogonga lori katika eneo la
njiapanda ya Kolandoto mkoani Mwanza.
Ajali hiyo ilihusisha basi la Kampuni ya
JM Luxury kuligonga lori aina TAT…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment