Msanii wa muziki Christian Bella amefanya show ya nguvu katika show ya ‘The Black Tie’ ambayo iliandaliwa na malkia wa filamu Wema Sepetu.
Show hiyo ambayo imefanyika usiku wa Jumamosi hii katika ukumbi wa
King Solomon jijini Dar es salaam, imeacha historia ya aina yake katika
muziki kutokana wadau mbalimbali pamoja na mastaa wa filamu kushindana
kumtuza msanii huyo. Katika show hiyo pia Bella alisindikizwa na Linex,
Barnaba pamoja na Linah.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment