
Baada ya mtangazaji wa Cloud TV zamaradi Mketema kufanya mahojiano na kijana anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja, Wtanzania walihamaki na kupiga kelele huku wakimjia juu Zamaradi kwamba amekosea. Hii hapa kauli ya Zama juu ya tukio zima na matarajio yake, amepiga Story na Ayo TV
0 MAONI YAKO:
Post a Comment