July 23, 2016

 
David Moyes apata kazi Sunderland. Atachukua nafasi yake aliyekuwa meneja wa klabu hiyo Sam Allardyce
David Moyes amebahatika kupata nafasi hiyo baada ya Sam Allardyce kuchaguliwa kuwa msimamizi wa timu ya kitaifa ya Uingereza.
Moyes mwenye umri wa miaka 53, na aliyewahi kuwa meneja wa Manchester United na vilevile Everton amepata mkataba huo mpya wa miaka minne.
Moyes anasema anafurahi kupata kazi na club hiyo kubwa ya Uingereza na anatazamia kwa hamu kurudi tena kufanya kazi katika ligi kuu ya Uingereza Premier League.
Utakumbuka jinsi alivyolazimika kuihama Premier League wakati alipofutwa kazi kutokana na kutopata matokeo mazuri baada ya kuchukua uongozi wa Manchester United kutoka kwa Sir Alex Ferguson aliyekuwa anastaafu baada ya msimu wa mafanikio mazuri wa ushindi wa vikombe kadhaa katika mdaa wa miaka 26 huko Old Trafford.

Related Posts:

  • MAMA YAKE ZITTO KUZIKWA KIGOMA KESHO    Mzee Stephen Wassira akimpa Zitto pole na faraja katika msikiti wa Maamur.Picha kwa hisani ya Khalfan Said. Maiti ya Bi Shida Salum, mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Zitto Kabwe, imesaf… Read More
  • MAMI YA WATU MOROGOR WAUAGA MWILI WA MTOTO NASRA RASHIDI         Safari ya Mwisho ya Nasra.kutoka hospitali ya mkoa wa Morogoro hadi Jamhuri stadium na baadaye Makaburi ya Kolla.Tunaamini sisi tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.alikuon… Read More
  • Mtoto wa Pele afungwa jela miaka 33 Brazil 23 seconds ago Gwiji wa soka Pele akionekana mwenye huzuni. Akiwa na umri wa miaka 43, mchezaji mpira mstaafu, atatumikia kifungo kwa kosa la kujipatia p… Read More
  • RAY C ALITAMANI PENZI LA KIKONGWE MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema kwa sasa hana mpango wa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu, na kama ikitokea basi atamtaka kuwa na miaka kuanzia 60. Akizungumza kat… Read More
  • SIKILIZA MUME WA FLORA MBASHA AKIOMBA MSAMAHA KWA SHEMEJI YAKE Tunaomba usikilize hii audio Mume wa Flora Mbasha akiomba msamaha na akifichua mambo magumu mazito yanyoendelea ndani ya famili hiyo ambayo imezua gumzo mtaani kwa kile kinachofikiriwa kua imepoteza uaminifu ku… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE