July 06, 2016

 

Waislam duniani leo hii wameswali swala ya Eid Elftir katika kukamilisha ibada ya Funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mkoani Morogoro swla hiyo maalum iliswaliwa katika viwanja vya Islamic Foundition vilivyopo Hilux Mkoani hapa
 




 

 
 Shekh Yahya akisoma Hutba kukamilisha swala ya Eid leo hii
 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE