Ni kundi la muziki asili wa Mchiriku toka nchini Tanzania. Ni miungoni mwa makundi machache sana yanayofanya mziki huo wa Mchiriku. Mziki wa Mchiriku ni mziki uliopata umaarufu sana mwanzoni mwa miaka ya 90 mpaka mwishoni kabla ya kupotea na kurudi tena katika mtindo wa kisasa. Tazama hii show ya Jagwa waliyoifanya live jukwaani
Rushwa ni tishio uchaguzi mkuu wa Oktoba
-
VIONGOZI kadhaa wa madhehebu ya kidini mkoani Singida, wametakiwa
kuwaonyesha wananchi umuhimu wa kuchagua...
The post Rushwa ni tishio uchaguzi mkuu w...
1 hour ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment