Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu
Tundu
Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
amesema kauli za Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ni za kibaguzi na zinavunja umoja wa kitaifa,
Aidha Magufuli amesema “Wale
wanaotangaza kufanya maandamano, watangulie wao wenyewe na watakiona cha
mtema kuni. Mimi nataka watangulie wao wasiwatangulize watoto wa
masikini,” amesema Rais Magufuli huku akiongeza kuwa;
0 MAONI YAKO:
Post a Comment