Kwenye mchezo wa leo June 6, Chief alikuja uwanja wa Bandari akiwa kwenye kibanda ambacho kimenakishiwa na wadhamini wa michuano ya Ndondo.
Ikumbukwe kwamba, kila wiki kutakuwa na kikundi bora cha ushangiliani ambacho kitajishindia zawadi kabla ya ile ya zawadi ya mwisho ya kikundi bora cha ushangiliaji kwa msimu huu.
Msimu uliopita Chief alikiongoza kikundi chake kuibuka kikundi bora cha ushangiliaji na kujishindia shilingi milioni (1,000,000).
0 MAONI YAKO:
Post a Comment