Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba amezungumza na kusema kuwa CHADEMA wasithubutu kuandamana kwani kwa kufanya hivyo si kuwa watakuwa wanatingisha kiberiti cha njiti, lakini wanachezea gesi. Amesema kuwa sio kila kitu mtu anatakiwa kujaribu kwa sababu vingine huenda vikakuumiza. Waziri ameyasema maneno hayo akiwaasa viongozi wa CHADEMA kutupilia mbali mpango wa maandamano na mikutano ya siasa nchi nzima Septemba Mosi. Kufuatia kauli hiyo ya Waziri, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema haya. Msikilize hapa chini.
BRAND NEW SONG: RUGA MKALI - JIANDAE
Ni moja ya wimbo ambao ukiuskiliza hutatamani kuacha kuuskia, kutokana na mashairi ya wimbo wake na aina ya mziki alioutumi. Wimbo umefanyika katika studio za AM Records za jijini Dar Es salaam na mtayarish…Read More
NEW VIDEO: CLASSIC BEYB -SASTISFACTION
Kama wewe ni mpenzi wa nyimbo toka hapa nyumbani Tanzania, basi hii ni zawadi yako kabisa, toka Frexible Music Sinza imetayarishwa na Mbatizaji
TAZAMA HAPA KISHA WEKA COMMENT YAKO
…Read More
BRAND NEW SONG: TULIA YA BUTERA KNOWLESS TOKA NCHINI RWANDA
Kwa sasa ulizungumzia wanamuziki wanaofanya poa sana Afrika Mashariki na kati, basi toka nchini Rwanda hutasita kumtaja mwana dada Butera Knowless. Huyu ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya anayefanya p…Read More
BRAND NEW SONG: HAKEEM FIVE ft ALLY KIBA - MADEBE
Huu ndiyo ujio mpya kabisa toka kwa baba kijacho Hakeem Five, Hapa kamshirikisha mshkaji wake wa kitambo sana Ally Kiba. Wimbo unaitwa Madebe, producer Mo Fire katika studio za Fire Music. Hakeem amesema Vide…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment