
Imetolewa leo tarehe 28/8/2016
Na Mkurugenzi wa Habari, mawasiliano na Uenezi Taifa- Salim Bimani
Kesho Jumatatu tarehe 29/8/2016 saa 5 asubuhi katika ukumbi wa mikutano
uliopo katika ofisi ndogo za CUF Vuga, Unguja Zanzibar, Naibu Katibu
Mkuu Mhe.Nassor Ahmed Mazroui atasoma Tamko Rasmi la Maamuzi ya Baraza
Kuu la Uongozi la Taifa la CUF lililokutana leo jumapili kuanzia saa
8.00 Mchana hadi saa 12.00 jioni. kikao hicho cha Baraza Kuu
kilitanguliwa na kamati ya utendaji Taifa iliyokutana saa 4 asubuhi.
Wana Habari wote mnakaribishwa
karibuni sana.
Mawasiliano 0777414112
HAKI SAWA KWA WOTE
Wana Habari wote mnakaribishwa
karibuni sana.
Mawasiliano 0777414112
HAKI SAWA KWA WOTE
0 MAONI YAKO:
Post a Comment