
Ikiwa ni show nya kwanza kabisa ya msimu rasmi wa Fiesta 2016, wakazi wa Jiji la Mwanza wameweza kuuzindua rasmi msimu huu wa Buradani nchini lakini mwaka huu ukija kivingine kabisa.Wiz Kid toka nchini Nigeria ndiye mwanamuziki wa kimataifa aliyekuja kuzindua rasmi na wasukuma .Wasanii kutoka nyumbani pia hawakuwa nyuma katika kuhakikisha mambo yanakwenda kama yalivyopangwa kwa kutoa burudani kali kwa mashabiki wao. Wasanii kama Weusi, Ben Pol, Man Fongo, Maua sama, Dayna Nyange,Navi Kenzo, madee,Chege,Barakah, Ali KIba waliweza kukonga nyoyo za mashabiki kisawasawa na kuacha simulizi mitandaoni
Mwanamuziki Wizkid kutoka Nigeria akifanya yake stejini wakati wa uzinduzi rasmi wa shoo za Fiesta 2016 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Benpol akionyesha makali yake kwa mashabiki wake jijini Mwanza.
CEO wa #CloudsMediaGroup @josephkusaga akiwa backstage na #StarBoy @wizkidayo muda mfupi kabla hajapanda stejini mapema jana usiku
Anakwambia Hainaga ushe .... Man Fongo akifanya yake jukwaani.
Mkali wa ngoma ya Kwetu kutoka WCB, Raymond akiwa jukwaani.
Dayna Nynage Burudani mwanzo mwisho.

Madee na Tunda wakifanya yao


Madee na Tunda wakifanya yao

Mr blue byser akikamua mboga saba
Nyomi.

MC wetu B. Dozen

Kutoka backstage aikanavykenzo Adamchomvu Nandi na mauasama

Mwisho wa siku Wizkid anasema hivyo

MC wetu B. Dozen

Kutoka backstage aikanavykenzo Adamchomvu Nandi na mauasama

Mwisho wa siku Wizkid anasema hivyo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment