Habari za leo mpenzi msomaji wa ubalozini.blogspot.com. Leo ikiwa ni Alhamisi ya 18 August 2016. Tunakualika katika kurasa za magazetini leo hii. Habari kubwa ni hizi
AUDIO SONG// MWANA FA ft ALLY KOBA - KIBOKO YANGU
Sote tumeusubiri kwa hamu na sasa wimbo mpya kabisa wa Mwana FA na Alikiba umewasili rasmi. Baada ya Mwana FA kutoa wimbo wa Mfalme live katika tuzo za KTMA 2014 msanii huyu ameungana na mfalme wa bongo flava yaani Ali…Read More
BRAND NEW SONG// NEED YOU TO REIGN - ANGEL BENARD
Wimbo wa kwanza katika album ya NEW DAY kutoka kwa ANGEL BENARD "Need you to reign" ni wimbo unaomuomba Mungu awepo katika maisha yake na amuongoze katika kila jambo. Wimbo huu umerekodiwa Mujwahuki Studios chini …Read More
MHESHIMIWA TEMBA, SAID FELA KUMSOMESHA MTOTO WA MAREHEMU Y.P
Msanii
kutoka kundi la TMK Wanaume,Mh.Temba na na mlezi wa kundi hilo Said
fela wamejitolea kumsomesha kwa miaka saba mtoto wa aliyekuwa msanii wa
Bongo Flava kutoka kundi hilo aliyefariki usiku wa kuamkia juzi n…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment