

Msanii zao la SupaNyota2013 Eduboytz akifungua jukwaa la FiestaMuleba ZimbihileStadium

Time ilikuwa ya Bonge la Nyau kushambulia jukwaa

Kutoka Mwanza mpaka Muleba siyo mbali kabisa kwa Barakah Da Prince. Anawaburudisha majirani zake

Anatoka katika Lebal ya W C B anaitwa Raymond. Akikiwasha kinomanoma jukwaani

Chaf Poz mtu mzima Bill Nass ilifika zamu yake

Kwenye injini yupo D J Zero akiharibiki kitu

Mwamba wa Kaskazini akisema nao watu wa Muleba katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 #Imooo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment