August
15 2016 kamati ya utendaji ya Simba ilikutana na mfanyabiashara na
mkurugenzi mtendaji mkuu wa makampuni ya Mohammed Enterprises Limited
(MeTL) Mohammed Dewji ambaye aliomba kununua asilimia 51 ya hisa za
Simba kama mfumo ukibadilika na kuanza kuendeshwa klabu hiyo kwa hisa,
leo August 17 Simba wametoa makubaliano yao walioafikiana katika kikao
chao cha pamoja.


0 MAONI YAKO:
Post a Comment