August 08, 2016

Mbunge Maji Marefu Atishia Kujiuzulu Kama Hili Lisipofanyika..

Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Professa Maji marefu) ametishia kujiuzulu ubunge endapo ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami kutoka Soni Jimbo la Bumbuli hadi Korogwe utaendeshwa kinyume na maelekezo ya Ilani ya uchaguzi ya CCM.

Toa maoni yako

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE