
Leo August 11zimesambaa habari katika mitandao ya kijamii kwamba nahodha wa timu ya Simba Musa Hassan Mgosi kuripotiwa kutangaza kustafu kucheza soka na kuwa meneja wa timu hiyo,
kaamua kuandika, lakini ukweli mimi sijasema kama jambo hilo lipo basi lazima kutakuwa kuna utaratibu fulani wa heshima wa kustaafu mimi ni mchezaji mkubwa katika soka la Tanzania na ikifika wakati naweza kuandaa press”
0 MAONI YAKO:
Post a Comment