
Ikiwa ni wiki moja imepita tangu tamasha la Tigo Fieasta 2016 kuzinduliwa rasmi pale jijini Mwanza na mkali kutoka Nigeria Wizkid, sasa ni mchakamchaka. Siku ya jana ilikuwa zamu ya wakazi wa Kahama ambao wali enjoy vya kutosha kwa kupata burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wanaofanya poa sana kwa sasa katika game hii ya Bongo

Kipenzi cha warembo, kipenzi cha Masela wanamuitaga mrbluebyser1 amewasimulia vyema wana Kahama kuhusu yule mtoto Mboga7

Mwamba kutoka Kaskazini johmakinitz akifanya yake

Maua sama akikonga nyoyio za mashabiki wa Kahama

Mtoto wa Uswazi uswazini wanamuita Sholo Mwamba akikamua vilivyo hasa

Sehemu ya umati wa wakazi wa Kahama na maeneo jirani . HAkika mlitisha sana

Mtu wa Hatari, sauti ya hatari na show ya hatari. Mzee wa masauti Christian Bella

Kutoka XXL ya Clouds Fm anaitwa kenedytheremedy kwa mara ya kwanza kabisa akipanda katika jukwaa la Fiesta kama MC wetu.

Kutoka Tanzania House of Talent T H T anaitwa nandy

Mkali wa HipHop Tanzania wanamuitaga Darassa, hili ni Darassa kweli
Jumapili hii ya August 28 wakazi wa Muleba zamu yenu. #Imooooooo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment