Leo hii August 21, Chama cha Wananchi CUF kimefanya mkutano wake wa kujaza nafasi mbalimbali zilizoachwa wazi ikiwapo nafasi ya mwenyekiti wa Chama hicho Taifa. Katika mengi yaliyozungumzwa katibu mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad amezungumzia kuhusu kujiuzulu kwa Prof. Lipumba
August 21, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 MAONI YAKO:
Post a Comment