August 09, 2016

 Msanii wa Bongo Movie Wastara Juma amepinga uvumi wa kutoka kwa baadhi ya watu ambao wamekuwa wanamzushia kwamba yeye ni mjamzito.
Akiongea kwenye kipindi cha eNewz kinacho onyeshwa katika runinga ya EATV kila siku saa kumi na mbili, Wastara amewaambia wananchi kwamba tumbo la mimba hukua na halirudi ndani kwa hiyo waendelee kusubiri miezi tisa mpaka itimie kwani kwanzia waanze kusema yeye ni mjamzito ni miezi mine na tumbo haliendelei.

Licha ya hilo Wastara amesema tumbo hilo ambalo walikuwa wanalihisi kuwa ni kijacho, ni kwamba aliridhika tuu na sehemu ambayo alikuwa, kwani alikuwa Msumbiji kibiashara kwa hivyo mazingira hayo yalimfanya kuwa na tumbo kubwa na hivi sasa yupo kwenye diet ili kupunguza mwili.

"Unajua kinachonishangaza ni pale wale wanaposema mimi ni mjamzito na haelewi baba kijacho ni yupi kama ni yule wa ndoa ama ?," alisema Wastara Juma.

Related Posts:

  • Sugu Kuwasha Moto Baada ya Kutoka Gerezani Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi “Sugu'' amefunguka na kusema kuwa atawasha moto katika jiji la Mbeya Mjini pindi atakapotoka kutumikia kifungo chake cha miezi mitano jela ambapo sasa kinakwenda ukingoni. Sug… Read More
  • NECTA: Watakaofanya udanganyifu wa aina yoyote kukiona cha moto Na Said Mwishehe,Blog ya jamii BARAZA la Mitihani la Tanzania(Necta) limetoa onyo kali kwa wamiliki wa shule,walimu na wananchi kutojihusisha na vitendo vya udanganyifu wa mitihani ya Kidato cha Sita na Koz… Read More
  • TFF Yawapa Agizo Yanga la Kufanya Uchaguzi   Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeitaka klabu ya Yanga kufanya uchaguzi wa kujaza nafasi za viongozi wake waliojiuzulu ikiwemo ya Mwenyekiti kwa wakati kwani tayari muda umeshapita.Agizo hilo limetolewa kwa M… Read More
  • J.Cole atangaza ziara yake ya ‘KOD’   Baada ya albamu ya KOD kufanya vizuri na kujiwekea rekodi kibao, J.Cole ametangaza ziara yake ya muziki kwa mwaka huu. Ziara hiyo aliyoipa jina la KOD Tour inatarajiwa kuzunguka katika miji kibao nchini Marekani a… Read More
  • Yanga yamlilia Chamangwana   Timu ya soka ya Yanga ya jiji Dar Es Salaa, imemkumbuka aliyhekuwa kocha wake wa wakati hueo Mmalawi Jack Chamangwana iliyefariki Dunia jumapili iliyopita. R.I.P Coach Jack Chamangwana. Ulikuwa sehemu ya mafanikio… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE