Muimbaji huyo amesema kuwa, steji ndio kipimo chake cha kuwajua mashabiki wake na kuwa karibu nao.
“Kikubwa nimefahamu ninavyokuwa kisanaa maana ni tamasha kubwa na nakutana na watu wengi. ‘Nivute Kwako’, ‘Ido’, ‘Komela’ na ‘Angejua’ zote zinapendwa na mashabiki wa mikoani,” amesema Dayna.
Msanii huyo ameongeza kuwa video ya wimbo wake ‘Komela’ aliomshirikisha Bill Nas imechelewa kutokana na kuingiliana kwa vitu ila amewataka mashabiki wake waendelee kuisubiria kwa kuwa maandalizi yote yapo tayari
0 MAONI YAKO:
Post a Comment