
Tamasha la Fiesta 2016 linaendelea kuwafikia watanzania katika miji na majiji yaliyopangwa kufika kwa msimu huu. Usiku wa jana 11 sept kuamkia 12 september wakazi wa Singida waliweza kuitumia vema fursa hii inayopatikana mara moja kwa mwaka kwa kuweza kushuhudia bonge la show kutoka kwa wasanii mbalimbali.
Tazama kipande kidogo cha Video
Kutoka T H T anaitwa nandy akiwapa wana Singida haki yao
Anaitwa Bonge la Nyau
Darassa akiwa Darasani kuwapa Darassa wana wa Singida
Wazungu nao wakapagawa kabisaaa
Farid Kibanda kwenye Stage
Snura naye alichukua nafasi yake
Ben Pol akiwatumbuiza jirani zake wa Singida
Mahaba niuwe Maua Sama akikamua kindakindaki jukwaani
Chizi Jukwaani ndiyo kapewa nafasi yake sasa, anaitwa Shishi Baby
Nuh Mziwanda saluti kwako kaka

Huyu jamaa ni kawaida yake kuwakalisha. Mr Blue Bayser

Huyu jamaa ni kawaida yake kuwakalisha. Mr Blue Bayser
Wiki hii unafikili ni zamu ya mkoa gani?? Endelea kufwatilia hapa hapa tutakupa habari na endelea kusikiliza Clouds Fm kwa habari zote za Fiesta





0 MAONI YAKO:
Post a Comment