
Lile tamasha kubwa la burudani Tanzania Fiesta 2016 linazidi kuchanja mbuga katika miji na majiji. Mwaka huu linatazamiwa kufika katika miji 15 ya Tanzania. Mija ya mji ambao tamasha hili litafanyika ni Tabora, ambapo wik end hii ya 9 September siku ya Ijumaa wakazi wa Tabora watakwenda kukata kiu yao kwa msimu huu. Tayari timu ya Fiesta ipo mkoani Tabora kwa maandalizi. Time imefika kwa mkuu wa mkao wa Tabora Ndugu Agrey Mwanry ambaye amepata Fursa ya kutoa baraka zake na ikiwa ni Ishara ya Tamasha hili kupewa baraka zote za kimkoa.
Concert Details
Venue : Ali Hassan Mwinyi Stadium
Date: 09 September 2016
Ticket Price (TZS): 10,000
Time : 18 : 00
0 MAONI YAKO:
Post a Comment