Wakazi wa jiji la Tanga usiku wa jana kuamkia leo wameingia katika Historia ya Fiesta ya mwaka 2016 baada ya usiku wa Tarh: 23 kuamkia 24 September kukamilisha shangwe za Fiesta katika uwanja wa Mkwakwani

MR.blue byser mzee wa mboga saba mi namwitaga Jini akiwa anakinukisha MkwakwaniStadium Usiku wa Jana kuamkia Leo
Ukisikia sauti yake unaweza kutamani asiache kuimba,
bellachristian1 akitimiza ahadi yake kwa mashabiki zak
bellachristian1 akitimiza ahadi yake kwa mashabiki zak
Naweza sema ndiye mfalme wa R $ B kwa sasa, anaitwa Ben Pol akisema na mashabiki zake wa Tanga katika jukwaa la Fiesta 2016

Mshindi wa SuperNyota mkoa wa Tanga ni CyrillIsidor
MamboYaTangaHayo raha ya mduara sharti utupie msuli

Rais wa Manzese aka Madee unajua ana asili ya Tanga
Shetta akiwa sambamba na wacheza show wake katika kuwapa ladha mashabiki wake waliofurika uwanja wa Mkwakwani
Unaweza lusema kwamba jiji zima la Tanga liamia Mkwakwani kwenye shangwe za Fiesta





0 MAONI YAKO:
Post a Comment