Ni
September 22, 2016 kwenye U HEARD ya Clouds FM, inamuhusu Nuhu
Mziwanda ambaye amemlalamikia aliyekuwa Meneja wake, Petit Man, Nuhu
Mziwanda amedai kuwa amekuwa akichukua pesa kwa kutumia jina la Mziwanda
halafu hazifikishi kwake. Soudy Brown amepiga nao story leo kwenye U
Heard huku Nuh akieleza sababu za kuamua kuachana na usimamizi wa
Petiman.
Kama
meneja ambaye anafanya kazi na wewe anashindwa kujua wewe ni mtu gani
kwenye jamii huyo ni tatizo, mimi natafuta pesa kwa jina langu sasa yeye
asitumie ile kusema mimi ni meneja wa nuh kupata pesa halafu
hazifikishi kwangu hiyo ndo sababu mimi nimemkacha:- Nuh Mziwanda
0 MAONI YAKO:
Post a Comment