Tovuti ya Amazon.com yachapisha picha za simu mpya ya Apple inayotarajiwa kuzinduliwa leo, iPhone 7 ikiwa ni saa chache kabla ya kampuni hiyo haijazindua simu hiyo inayosubiriwa kwa shauku kuwa. Picha hizo ni pamoja na vitu vingine vitakavyoambanata na simu hiyo.
- iPhone 7 itakuwa na kamera mbili
- Ina spika za masikioni (headphone) ambazo zintaunganishwa kwa kutumia Bluetooth kwa sababu simu hiyo haina tundu la kuchomeka spika hizo.
- Itakuwa na kamera moja ya mbele ambayo imeonekana kuwa ni kubwa zaidi ya toleo lililopita.
Picha zaidi


0 MAONI YAKO:
Post a Comment