Mrembo na mwigizaji asiyeishiwa vituko Tanzania Wema Sepetu alinaswa na kamera akiangusha miuno live huku akishuhudiwa na mamia ya watu waliohudhulia tukio hilo
Uchaguzi Kinondoni,Sanduku la kupigia kura ladaiwa kuibiwa
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni (CHADEMA), Salum Mwalimu amedai
kuibiwa kwa sanduku la kupigia kura katika Mtaa wa Idrisa Magomeni
Jijini Dar es Salaam.
Salum Mwalimu ameyasema hayo leo wakati akizungumza na mub…Read More
NEC: "ITV Iombe Radhi, Sanduku Lililoibiwa Ilikuwa Hivi..."
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Ramadhani Kailima, amekitaka kituo cha Runinga cha ITV, Kuiomba radhi tume ya uchaguzi kwa kukiuka utaratibu uliowekwa na tume hiyo wa kuviongoza vyombo vya habari jinsi ya k…Read More
Mwanafunzi aliyepigwa Risassi Jana Dar, ni mwanafunzi wa NIT
Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kimesema aliyepigwa
risasi jana Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam na kufariki
dunia ni mwanafunzi wa chuo hicho.
Chuo hicho kimemtaja mwanafunzi huyo ku…Read More
Mbowe aahidi kuongoza mapambano na CCM
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amezungumza mambo mengi kuhusu yanayoendelea ikiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Kinondoni kutowapa Mawakala wao vitambulisho na mengine mengine mengi:Tazama Mbowe alivyozungumz…Read More
TASAF KUBORESHA ZAIDI AJIRA ZA MUDA MFUPI
-
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Shadrack Mziray
amesema ziara ya mafunzo nchini, Afrika Kusini kuhusu utekelezaji wa ajira
za ...
Chadema kuanza kuwasha moto Jumapili hii
-
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Amani
Golugwa, amesema chake, kitaanza...
The post Chadema kuanza kuwasha moto Jumapili...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment