Katika maadhimisho ya miaka 3 tangu kuanzishwa kwake, kile kiota cha burudani mkoani Morogoro cha Samaki Spot pale Kihonda Bima, kimedhamilia kutoa bonge la Burudani kwa wateja waki walioonesha moyo wa kuwa nao pamoja kwa muda wote. Tukio hilo kubwa la aina yake , litafanyika siku ya Jumapili 13 November 2016 palepale Samaki samakini . Burudani sasa itadondoshwa na mkali wa Singeli Tanzania wakuitwa Man Fongo huku likipigwa Live Band kutoka kwa Waluguru Original. Utaanzaje kukosa?? Kwa upande wa Ma dj, yule DJ Mkongwe na ndiyo dj bora wa mika yote Afrika Mashariki DJ JD, atakinukisha kwenye zile mashine zake huku akiwa sambamba na DJ bora mkoani Morogoro DJ Jimmy wakikuhakikishia kila kitu kipo sawa. Mwambie na mwanzio
DIWANI WA KATA YA MSHANGANO AJIUZULU
-
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano akionesha barua ya kujiuzulu
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano aliyejiuzulu kupitia Chama Cha
Mapind...
1 hour ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment