Arnold Schwarzenegger — mrithi wa Donald Trump kwenye kipindi cha
runinga cha ‘Celebrity Apprentice’ na gavana wa zamani wa California,
amesema kufuatia skendo ya mgombea huyo wa Urais ya kudhalilisha
wanawake, hatompigia kura.
Nyota huyo wa “Total Recall” ametweet: For the first time since I became
a citizen in 1983, I will not vote for the Republican candidate for
President.”
Hata hivyo hakumtaja Trump.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment