Anaitwa Tea Sigwa, ni mshindi wa Supa Nyota namba mbili kwa mwaka 2016 kutoka mkoani Morogoro. Ametuletea wimbo wake huu mpya kabisa ubaitwa Nyota Ndogo. Njoo tuuskiklize
Enter your comment...Yup ngoma kali Na Thanks kwa bloggers wote mnaosap Ngoma za jamaa since Ngoma ya kwanza Mpk hapa na Niwaombe zaidi mzid kumpa sapoti mwana kwani nyuma yake mpo ninyi na Nyuma yenu Tupo sisi hakika together tutafika. Jah Bless
Enter your comment...Yup ngoma kali Na Thanks kwa bloggers wote mnaosap Ngoma za jamaa since Ngoma ya kwanza Mpk hapa na Niwaombe zaidi mzid kumpa sapoti mwana kwani nyuma yake mpo ninyi na Nyuma yenu Tupo sisi hakika together tutafika.
ReplyDeleteJah Bless