October 25, 2016

Yahya Jammeh
Serikali ya Gambia imesema kuwa itajiondoa kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC mara moja.
Hatua hiyo imekuja kutokana na madai kuwa ICC hushughulika na Waafrika pekee.
Maamuzi ya kujitoa katika mahakama hiyo yanafuatia baada ya Burundi na Afrika ya Kusini kutangaza kujiondoa
Rais wa nchi hiyo Yahya Jammeh amekua madarakani tangu mapinduzi nchini humo mwaka 1994.
Uchaguzi ujao unatarajiwa kufanyika desemba lakini mapema mwaka huu viongozi nane wa upinzani walikamatwa na kuhumiwa miaka mitatu jela kwa kuhusika katika maandamano ambayo hayakua na kibali.
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty limesema kuwa maamuzi hayo ni sehemu ya muendelezo wa ukandamizaji wa haki za binadamu nchini Gambia.

Related Posts:

  • Official Video: Davido - Fia    Sony Music Entertainment International Limited Wanakuletea wimbo mpya kabisa wa mwanamuziki Davido kutoka nchini Nigeria.Enjoy sasa kwa kuutazama hapa chini        &nbs… Read More
  • Mambo makubwa manne kutoka ACT Wazalendo leo   Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza mambo manne kuhusu kupekuliwa kwa  Ofisi za chama hicho na Jeshi la Polisi. Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi, Ado Shaibu imeeleza mambo ha… Read More
  • Hawa ndiyo wanaomkwamisha Baraka The Prince Msanii Baraka The Prince amemlaumu meneja wake wa zamani chini ya RockStar 4000 Seven Mosha pamoja na mpiga picha maarufu Mx Carter, kuwa ndio wanaohusika na kufelisha kazi yake mpya YouTube. Baraka ameyasema hayo a… Read More
  • Diamond na Rick Ross kuachia Kolabo yao December 1    Msanii wa Bongo Flava, Diamond Platnumz amesema kuwa kolabo yake na rapper Rick Ross itatoka Desemba Mosi mwaka huu. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Hallelujah’ amesema hayo ka… Read More
  • M2 The P kurudi kivingine, Jodan na Mirror wapo pia   Msanii wa muziki Bongo M2 The P ametangaza kurudi kivingine katika game pamoja na Mirror na Jodan. Mirror na Jodan ambaye walikuwa chini ya usimamizi wa Marehemu Ngwea wamekuwa kimya kwa muda sasa, hata hivyo … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE