October 19, 2016


drake-iheart
Kuizuia nyota ya Drake ni sawa na kuziba mwanga kwa kiganja cha mkono. Album yake ya Views, imekuwa ya kwanza katika historia kusikilizwa mara milioni 880 kwenye mtandao wa Spotify.Rapper huyo wa Canada ameweka rekodi hiyo ikiwa ni wiki chache zimepita tangu mtandao wa Apple Music ulipotangaza albamu hiyo kuweka historia ya kusikilizwa mara bilioni 1 kwenye mtandao huo.Drake ameweka rekodi hiyo kwenye mtandao huo wa Spotify baada ya kuivunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa mwaka uliopita na Major Lazer, DJ Snake na MØ’s na wimbo wa ‘Lean On’ iliyosikilizwa mara milioni 526.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE