November 23, 2016

Tokeo la picha la xxl clouds

Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz alifanya mahojiano na XXL ya CloudsFM November 23 2016 chini ya Watangazaji B DozenMami Baby na Kennedyna kuongea ishu nyingi kwa uzito ikiwemo kusaini mkataba na Universal, maneno kati yake
na Ommy Dimpoz, bonyeza play hapa chini kusikiliza kila kitu

                       

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE