Mshindi wa Fiesta Supa Nyota 2016 mkoa wa Morogoro Medy Botion, ameamua kuvunja ukimya juu ya tabia inayofanywa na baadhi ya wasanii hapa nchini na wadau hapa nchini. Katika ukurasa wake wa Facebook Botion anayetamba na wimbo wake wa SURA ameandika maneno haya
"leo nasema kwa niaba ya wengi.
inabidi ifike time, tuheshimu kazi na juhudi za watu kwa kuwapa support kwa namna moja na nyengine, cha ajabu ma MC's wengi wajuaji sana kwa upande wangu mi nawaita ma rapper kazi ni kukosoa kazi za wasanii wenzao na kuona kazi zao ni bora kushinda nyingine hiyo sio hip hop na huo sio mziki, wewe unaejio unajua sana umefanya kazi gani kubwa ya kushtua watu usikute we mwenyewe ni underground tu kama sisi, heshimu kazi ya mwenzako unaweza kumlekebisha mtu sio kukosoa huo ndio mziki. kitu kingine #mziki_hauna_mwenyewe sasa ule ujuwaji sana sio mzuri. eti wao ndio wanalijua game kuzidi wengine.
heshima kwa wote
#nawapenda_wote"
sambaza/share

0 MAONI YAKO:
Post a Comment