Ule msimu rasmi wa burudani ncini Tanzania Fiesta, umefikia kilele usiku wa jana kuamkia leo katika Viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam huku ukihudhuliwa na mashabiki lukuki na kushuhidia bonge la Burudani kutoka katika list ya wasanii kibao. Ikumbukwe pia kilele hicho pia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alitoa baraka zake kwa kutambua tukio hilo
Ivrah amekuwa wa kwanza kufungua jukwaa la FiestaDar Leaders Imooooo!
Ibrahnation ameamini ameacha historia Leaders
mauasama amepiga bonge moja la shoo
Barnaba Boy naye aliangusha bonge la shoo
Ikiwa ni mara yake ya kwanza kupanda katika jukwaa la Fiesta la Dar anaitwa Ray Van toka W C B
Chid Benzi naye ndani
Umati mkubwa watu ulishuhudia Kilele cha Fiesta Dar
Chege anasema Waache waoane
Tekno #Imoooo
Sholo mwamba amepanda saa kumi na mbili asubuhi





0 MAONI YAKO:
Post a Comment