
Club ya soka ya Arsenal inatyoshiriki ligi kuu ya nchini Uingereza, leo imeweka Historia ya pekee nchini Tanzania baada ya kujumuika na watanzania wengine katika kusherehekea siku ya Uhuru wa Tanganyika baada ya kupost picha yenye bendera ya Tanzania na kuandika ujumbe unaosomeka "Have a great day, gooners!" kama inavyoonekana hapa chini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment