Mwanamuziki kutoka T H T Lameck Ditto kutoka T H T, Baada ya kufanya poa sana kwa audio ya wimbo wake mpya wa Moyo sukuma Damu, sasa ametuletea video ya wimbo huo.
Good News: Ibrahim Ajib apata mtoto
Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kuwa familia ya Mshambuliaji wake, Ibrahim Ajibu, imejaaliwa kupata mtoto wa kike.
Ajibu alishindwa kusafiri na kikosi cha Yanga kuelekea Algiers,
Algeria kwa ajili ya mechi y…Read More
Kitila Mkumbo atii agizo la Rais Magufuli
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo,
ametekeleza kwa vitendo agizo alilopewa na Rais Magufuli, la kwenda
kijijini Tundu, Wilayani Mikumi kushughulikia kero ya mradi wa maji
kijijini hapo.
Mei …Read More
Video: Stamina afunga ndoa Morogoro
Mwanamuziki wa muziki wa Hip Hop kutoka mkoani Morogoro Stamina leo hii amefunga pingu zamaisha katika kanisa la Mtakatifu Patriki lililopo mkoani hapa.
…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment