Nimekutana na kufanya mazungumzo na mama wa msanii Rashid Makwilo "Chid Benz" ambaye kwasasa amepatwa na tatizo la Dawa za kulevya.Inasikitisha na haivumiliki kuona nguvu kazi ya Taifa inapotea huku wauzaji wakinufaika kwa pesa haramu.Ifahamike wazi vita ya serikali dhidi ya magenge, wauzaji na wasambazaji wa madawa ya kulevya imeongezeka hasa katika awamu hii ya tano chini ya Mh.Rais J.P.Magufuli,hivyo anayejihusisha kwa namna yoyote ni vema akaamua kuachana nayo kabla hajakutwa na mkono wa dola.
Mbali ya vyanzo vya taarifa tulivyonavyo,ni wajibu wa kila aliye RAIA MWEMA kutoa taarifa zitakazo saidia kuangamiza biashara haramu ya madawa ya kulevya.
Naishukuru familia ya Chid Benz kwa jitihada wanazozifanya kuhakikisha kijana mwenzetu anarejea katika hali yake ya kawaida.
Unaweza kuimba,unaweza kufanikiwa,unaweza kutatua matatizo yako bila kutumia madawa ya kulevya.- Asante mheshimiwa @mwigulunchemba kwa kukiri wazi kuwa biashara hii haramu imeongezeka has a kipndi hiki cha awamu ya tano. Mungu abariki jitihada za serikali kukomesha biashara hii haramu nchini
- Tatizo wauzaji hawakamatwi huku kwetu asilimia kubwa ya vijana wamepotea na madawa na wauzaji wanajulikana
- Nakukubar sanaa,
- Apelekwe soba kwa msaada wa serikali tena soba ya muda mrefu atarudi tu katika hali yake
- God bless you my dear
- Si umuulize akuoneshe anayemuuzia uanze nae, mbona pa kuanzia pako wazi kabisa
- Jmn inamana hayo madawa yanaingia nchini kwa njia gani ambayo mpk wahusika wa mipakani wameshndwa kuwakamata je wanvusha kimiujiza na uchawi ama wanavuka nayo kwa njia gani ambayo mpk hawakamatwi , wekeni sheria atakayekamatwa nayo anyongwe hadharani ili watu washike adabu zao wafanye kaz halali , bila waingizaji madawa nchini hawa wenzetu wacngeteseka hivi kwakua wangekua hawayapati , pia na watumiaji waonyeshe chocho zote wanazoenda kununua .
- Muheshimiwa mwambien awapeleke a akonunuaga kama kwel mnahitaj kutokomeza,,na vip mbona vipodoz fake na banga huwanachoma moto vio kuhusu madawa mbo a hatuonag kwenye taarifa ya habari yakichomwa moto hapo ndo mnatufanya tukose ima n kwa kwel liangalien hilo walau tuone madawa ya kulevya nayo yanachomwa moto kama wafanyavyo vipodoz
- Na kitemdo cha @officialchidibeenz Kua hivyo ni dhail mipakan na viwanja vya ndege hamna ulinz wa kutosha maana kama mgekua na ulinz watu wasingedhulika,tukio la chidbenz linawaumbua ukitaza kwa upana plz mubeshimiwa tazama hilo asee
- Amina mkuu tunaiomba serikali I endelee na mbio hizoo hadi mwisho
- @abuutheprince
- Mpeleke kwa Mchungaji Hananje wa Usharika wa KKKT Kigogo. He has converted alot of them @mwigulunchemba
- Basi angemuulizia hayo madawa anapata wapi
- Safi sasa kaka !heri ya mwakampya
- Dawa ni kumkamata chid benz aweke gerezan kama mwezi mmoj ili asahau madawa hayo
- Thanks my Komred, for the Nation you will stand. That has been your motto. God bless u always
- Tatizo ni kwamba mtandao unaanzia kwa mtumiaji. Pendekezo huyo Chid Benz abanwe aseme ananua wap madawa ndo mtandao huo. Alafu nae aadhibiwe maana wamemsaidia lakn bado tu anarudi kufanya kosa. Alafu labda mm sielewi najua mtumiaji na muuzaji wote wanamakosa kisheria sasa najiuliza hao wasanii mbona mnawalea?
- Hongera kiongoz wetu kwa hatua nzuri na upendo ulionao kwa watanzania mungu akujalie sana
- nakukubali jembe @mwigulunchemba
- Ukimaliza kumsaidia chid benz pia usisahau kumtumia aeleze alipokua anapata hizo dawa, la sivyo kila mwaka atakua anaibuka kiongozi anae jitolea kumsaidia muathirika huku madawa yakizidi kutiririka tu, badala uwezekano wa kuwatumia hao waathirika kuwapata wauzaji na waingizaji
December 31, 2016
- 12:11 PM
- Machaku
- No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment