Upigaji kura waendelea Nigeriamaeneo mengi yanahesabu kura zilizopigwa
Upigaji kura kwenye uchaguzi mkuu nchini Nigeria unaendelea kwenye vituo kadha kwa siku ya pili kutokana na kuwepo matatizo ya kiufundi kwa vifaa vya kukagua kadi za kura jana jumamosi…Read More
Hii inamuhusu yule akari aliyekutwa na fedha bandia
Jeshi la Magereza nchini limemfukuza kazi askari wake wa Gereza Bariadi, Mkoani Shinyanga (pichani) kwa kosa la kupatikana na fadha za bandia kinyume na Sheria za Nchi.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa jana Mach…Read More
Bank ya NBC yatoa misaada kwa Albino
Mkuu Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Mussa Jallow (wa tano kulia) akikabidhi msaada wa pikipiki kwa Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Mkoa wa Pwani, Thomas Diwani Mponda katika hafla amba…Read More
ZItto Kabwe awaumbua watu uenyekiti ACT
Aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini Ndugu Zitto Kabwe amesema hatagombea nafasi ya Uenyekiti katika chama alichojiunga
nacho hivi karibuni cha ACT. Amesema hayo muda mfupi kupitia redio E FM katika kipindikatika mahojiano k…Read More
Hiki ndiyo chanzo cha kifo cha Abdu BongeSaa zinahesabika toka Tanzania na familia ya bongofleva ipokee taarifa za msiba wa Abdul Bonge Mwanzilishi wa kundi maarufu la Bongofleva Tiptop Connection lenye wanachama kama Tunda Man, Madee, Dogo Janja na wengine waliopit…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment